Lutheran Radio Centre - 6110 - Moshi

Ajouter cette radio à vos favoris

Ads by Google AdSense

Lutheran Radio Centre Info

Écouter

Obtenez Radio Widget!

1/5 basé sur 1 revues. Noter cette station

644 Être à l'écoute
Chrétien Gospel 6110 48Kbps Anglais

Mur

Invité

Invité

Pia salaamu zangu ziwafikie ndugu zangu wote na Marafiki wanaosikiliza Radio Sauti ya Injili. M barikiwe sana......! Adilista Lyimo.

avr. 23, 2014, 5:52 après-midi GMT

Invité

Invité

Anaweza Yesu anaweza. Ndiyo Nyimbo niliyokutana nayo kwa mara yangu ya kwanza kujiunga kwenye hii Radio. Leo tarehe 23/4/2014. Asante sana Dada yangu Florine Lyimo kwa kunitumia hii website na Mama yangu mzazi Faustine Urasa kwa kunikumbusha leo nijiunge. Mungu wetu wa Mbinguni awabariki saaaaana te Glenmore na saaaana. Ni mimi Adilista Lyimo kutoka hapa hapa nyumbani kwangu. Anaweza Yesu Yesu anaweza. Ameeen......:)

avr. 23, 2014, 5:48 après-midi GMT

Invité

Invité

Bwana yesu asifiwe mim naitwa Arnold mosha kutoka Dar es salaam ninataaluma ya utangazaji kwa ngazi ya cheti. ninaomba kibali nifanye kazi nanyi nasali kkkt tabata.

avr. 10, 2014, 8:27 après-midi GMT

hopevictoria.masao

Hope Victoria Masao

Hello all in the name of Jesus. I come to you with a message from God. I have noticed that Chagga People Kill each other because of the Land and Traditional fights. In this case, many widows and children of decides fathers are left to fend for themselves. Now law of the land has managed to address t Glenmore his matter and its roots, rather touching the surface. I and my family are victims of this very tradition. Please go here and evaluate all the facts for the work of God ahead us in this great challenge in our very beautiful Moshi community. May the Lord God be with you and we say Amen! http://florentinamasaweinvadesvalerianhome.blogspot.com/ Please speak out for the truth, the Jesus kind of truth because, forgot not that Satan was master musician, magician and very good at laws. Not all Laws are from God either.

mars 28, 2014, 1:17 après-midi GMT

Invité

Invité

kazi yenu njema

mars 20, 2014, 1:55 après-midi GMT

Invité

Invité

mbarikiwe sana. nimekuwa nikiisikiliza tabgu nikiwa na miaka 5. popote niisikiapo najiihisi niko nyumbani. mbarikiwe saaaaaaanna

mars 17, 2014, 10:35 après-midi GMT

mbaulekailole

Michael Mbaule

Mungu awabariki kwa kazi zenu nzuri,anzisheni vipindi vya kutoa elimu kwa vijana wanaojihushisha na ukahaba na madawa ya kulevya. by Michael Mbaule.

mars 6, 2014, 4:07 matin GMT

Invité

Invité

Mungu awatie nguvu kwa kueneza neno lake amen!....Noel Japhet kutoka Dar Es Salaam

fév. 23, 2014, 1:21 après-midi GMT

Invité

Invité

Nashukuru kwa huduma ya sauti ya injili ,kutoka nyumbani,Mungu awalinde na kuwapa hekima zaidi ,kwa huduma yenu asanteni sana,nawapata vizuri kutoka nje kidogo ya boston massachusets.

jan. 5, 2014, 3:17 après-midi GMT

Invité

Invité

huku arusha redio inaptkana kwa shida sana na tunawapenda sana sa sijui mitambo mtairekebishaje mana tunakosa uhondo.loth onay arusha tanzania

déc. 31, 2013, 1:42 après-midi GMT

Critiques - Noter cette station:

Invité

HI RADIO SAUTI YA INJILI INAPATIKANA SASA HUKU ULAYA, TUNAOMBA SISI TULIOMBALI MTUPE FACEBOOK YENU ILI TUWEZE KUSIKIKA. ASANTE SANA

Toutes les langues

Voir cette page en Anglais: Play Lutheran Radio Centre online

Ecouter en direct, en ligne. Playlist, tracklist et liste de chansons les plus jouées, a venir...

PC a besoin de Windows Media Player - Mac a besoin de Real Player en plus - Voyez les questions fréquentes pour plus d'information sur comment écouter en direct le radio streaming