Radio Maria Tanzania - FM 89.1 - Dar es Salaam

Ajouter cette radio à vos favoris

A Christian Voice In Your Home

Ads by Google AdSense

Radio Maria Tanzania Info

Écouter

Obtenez Radio Widget!

4.6/5 basé sur 10 reviews. Noter cette station

2885 Être à l'écoute
Contactez-nous: info.tan@radiomaria.org

Mur

Invité

Invité

nawatakia pasaka njema wapendwa wote wa radio maria na wasikilizaji wote

avr. 18, 2014, 11:20 matin GMT

Invité

Invité

HONGERENI RADIO MARIA

avr. 17, 2014, 9:15 matin GMT

Invité

Invité

Kwa maombezi ya Mama Maria, tuwaombee wakazi wa jiji la Dar es salaam waliokumbwa na mafuriko ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini. Mama maria uwe msaada wa waathirika wote wa mafuriko hayo. Sr. Clara

avr. 13, 2014, 12:43 matin GMT

Invité

Invité

Redio Maria imenikuza Kiimani. Hakika natambua sana mchango wa Redio hii ya Mama Maria. Daima idumu na kuendelea kwa Sifa na Utukufu wa Mungu. Erasto Paul NyikaS.J Ardhi University

avr. 8, 2014, 4:17 après-midi GMT

Invité

Invité

Kaka Jeremia Juma, unaweza kabisa kutumia Laptop yako kama umeaccess internet. Nenda google then andika www.radiomariatanzania.com utaipata bila shida. Sr. Clara Mwanyalila

avr. 5, 2014, 11:34 après-midi GMT

Invité

Invité

Jeremia juma Mimi nilikuwa nauliza. Et,naweza kuisikiliza radio maria kwa kutumia raputop? Mtandaoni? 0786302811

avr. 4, 2014, 12:31 après-midi GMT

Invité

Invité

Pongezi kwa radio maria kutoa elimu ya vipindi vyote vya kuelimisha jamii. Niwatakie mafanikio mema katika kutoa elimu hizo. Sr. Clara Mwanyalila

mars 26, 2014, 8:33 après-midi GMT

Invité

Invité

tumsifu YESU kristo radio maria pongizi kwakutupa elimu ya kiroho ujumbe wakatoliki tusimame imara ktka imani tulizo pewa na kristo mi john albert kavishe 106.7 burdan24

mars 25, 2014, 6:35 après-midi GMT

Invité

Invité

106.7

mars 25, 2014, 5:15 après-midi GMT

Invité

Invité

na mwanga wa milele umwangazie astarehe kwa amani amina

mars 24, 2014, 2:58 après-midi GMT

Critiques - Noter cette station:

Invité

Radio Maria? We acha bhana! mi niko huku mbali na ninaipata vizuri sauti ya Kikristu nyumbani kwangu. Mungu azidi kuibariki. John Didas Mlay

Invité

Tumsifu Yesu Kristo. Hongereni Radio Maria Dar-es-Salaam kwani sisi tulioko nje ya Tanzania tunaipata vema hasa hapa Marekani. Inatuongezea IMANI yetu na inatukumbusha numbani Mbinguni na Tanzania. Niisikilizapo najihisi sijakosa kitu kamwe. DEOGRATIUS MSHANGA

Invité

tumsifu yesu kristu ,kwa jina naitwa masumbuko nicolaus. nikiwa u.s.a, nimefurahi kusikia kipindi hiki freemason kwenye radio maria tanzania. je! freemason ilikuwepo tangu enzi zakale? nataka nijue maana yake nini ?nataka nijue siku nasaa mnapo jibu maswali ya freemason.

Invité

Spirit enlightenment! I love the music I have heard. I wish I understood more of what this young lady is speaking of. I wonder, is this station controlled by or supported by the Catholic Church?

Invité

TUMSIFU YESU KRISTU, Nawapongeza wote walishiriki na kuendelea kutupatia vipindi vizuri vya Radio Maria kupitia mtandao

Invité

Bwana azidi kuwatia nguvu wote wanaoweshesha Radio Maria isikike Dunia nzima kupitia internet. Nipo Pretoria, South Africa.

Invité

TUMSIFU YESU KRISTU Hadi hapo sote tutakapofahamu kwamba ELIMU ni suala la watanzania wote, basi watoto wetu wataendelea kufanya vibaya. Tusirahisishe mambo na kumlaumu Kawambwa peke yake, au hata Walimu peke yao. ELIMU ni jambo la kila mmoja wetu. Ndimi James Alex - ITALY.

Invité

Nawapenda sana watanzania wenzangu. nawatakia juma kuu njema mkiyatafakari mafumbo makuu ya kufa na kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristu.

Invité

Nawasalimu watanzania wote ktk Kristo, Mwenyezi Mungu awabariki sana ktk kipindi hiki cha mfungo wa kwaresma Amina Sr. Clara Mwanyalila

Invité

Tumsifu Yesu Kristo. Jina langu Sr. Clara Mwanyalila ni mwanafunzi ktk chuo cha Assumption for sisters New Jersey U.S.A. Nawatakia sherehe njema wanajimbo la Dodoma na wana Mbeya wote ya kusimikwa Askofu mpya Fr. Gervas Nyaisonga Mungu awabariki sana. Amina

Toutes les langues

Voir cette page en Anglais: Play Radio Maria Tanzania online

Ecouter en direct, en ligne. Playlist, tracklist et liste de chansons les plus jouées, a venir...

PC a besoin de Windows Media Player - Mac a besoin de Real Player en plus - Voyez les questions fréquentes pour plus d'information sur comment écouter en direct le radio streaming