Radio Tanzania Dar es Salaam - TBC Taifa - FM 94.6 - Dar es Salaam

Ajouter cette radio à vos favoris

Ads by Google AdSense

Radio Tanzania Dar es Salaam - TBC Taifa Info

Africaine Nouveaux FM 94.6 0Kbps Swahili
Contactez-nous: http://www.tbc.go.tz/~tbcgo/tbc-taifa/contact-us.html

Mur

pablo.mkanyila

Pablo Mkanyila

habar zakaz jaman? Me nikuwa na ombi tafadhari naomba na sisi matu tunaopenda vitu tofauti mturidhishe kwan ckuwiz hata wakina bi rukia issa matona yan naamanisha taharabu harisi jaman pamoja cc wachache lkn tunavipenda hasiliyetu watu wapwan kwan leo ckumbuki kama mmetutangazia kifo cha juma balo

avr. 6, 2014, 5:46 après-midi GMT

ahmed.hamood.3975

Ahmed Hamood

jamani tbc hamujambo za asubuhi

jan. 20, 2014, 3:47 matin GMT

Invité

Invité

NAHITAJI MATOKEO YANGA VS SIMBA

août 29, 2013, 4:47 après-midi GMT

Invité

Invité

habari zenu watangazaji wa TBC Taifa mi ni msikilizaji wenu naitwa Hassan Mtupa shida yangu nilikuwa naitaji nyimbo ya mwimbaji wa zamani wa Taarab hasilia(Mwambao) anaitwa Daima Abdallah nyimbo inaitwa Kifo cha Mama na nyingine inaitwa kifo cha Baba kama mtaweza kunitumia kwenye accout yangu k.looz Glenmore awadi@yahoo,com nitashukuru. Ahsanteni

juil. 30, 2013, 9:28 après-midi GMT

Invité

Invité

Jamani ndugu zangu hapo situdioni, mbona hamna sauti TBC?

juil. 13, 2013, 9:08 matin GMT

Invité

Invité

nilitegemea kusikiliza mpambano wa yanga vs simba hapo tarehe 18 kupitia online radio sasa mbona hakuna matangazo?? tatizo ni lipi? tunawaomba mshughulikie hicho kinachowarudisha haraka iwezekanavyo

mai 16, 2013, 2:01 après-midi GMT

Invité

Invité

Naitwa Gabriel Kige Machotta nikiishi Norway. Radio zote zinazotumia web ya Streema, Radio Tanzania ikiwa mojawapo, zinasilikilika vizuri sana. Mbona nyinyi TBC Dar es Salaam hamsikiki ? Kulikoni ? Nakubaliana na maoni ya Mohamed Omari. Rekebisheni mitambo ili tuwapate. Huku tulipo Tunahitaji sana k Glenmore uelimika na yatokeayo nyumbani. Asanteni sana na Kheri ya Mwaka Mpya...2013.

jan. 26, 2013, 3:35 après-midi GMT

Invité

Invité

naitwa mohamed omari naishi south africa vipi mbona atusiki chochote uku lekebisheni mitambo tunawaomba.

jan. 16, 2013, 5:46 après-midi GMT

Invité

Invité

Hivi kuna redio kweli mbona hakuna sauti? Nipo China

jan. 13, 2013, 1:54 après-midi GMT

Invité

Invité

listen when in mwanza

déc. 24, 2012, 3:23 matin GMT

Critiques - Noter cette station:

Pas de critiques encore. Soyez le premier à en faire une!

Toutes les langues

Voir cette page en Anglais: Play Radio Tanzania Dar es Salaam - TBC Taifa online

Ecouter en direct, en ligne. Playlist, tracklist et liste de chansons les plus jouées, a venir...

PC a besoin de Windows Media Player - Mac a besoin de Real Player en plus - Voyez les questions fréquentes pour plus d'information sur comment écouter en direct le radio streaming